Dhana potofu kuhusu mazoezi ya nguvu kwa wanawake "strength training"



 Mazoezi haya yana faida nyingi hasa kwa wanawake ikiwemo kusaidia katika kupunguza uzito,kupunguza hatari ya magonjwa sugu kama vile kisukari na saratani pia kuimarisha mifupa na misuli na kumuweka mtu katika umbo la kuvutia lakini wengi hawayafanyi mazoezi haya kwani wana dhana potofu ambazo zinawazuia kufanya mazoezi haya baadhi ni hizi hapa ya kwanza nadhani hata wewe unayeisoma umekumbana nayo na huenda umeishikilia akilini mwako endelea kusoma ujue ukweli zaidi

  1. Mazoezi ya nguvu yatawafanya wanawake kuwa na misuli mikubwa sana.
  2. Wanawake wanapaswa kufanya mazoezi ya cardio kama vile kukimbia na kuruka kamba pekee ili kupunguza uzito.
  3. Mazoezi ya nguvu ni hatari kwa wanawake na yatasababisha majeraha.
  4. Mazoezi ya nguvu ni kwa wanawake wa umri mdogo peke yao 

Mazoezi haya yana faida nyingi sana kwa afya ya mwanamke na yeyote yule hivyo achana na dhana hizi potofu na angalia namna uanze kufanya mazoezi haya pamoja na mazoezi mengine ili kuimarisha afya yako

kuelewa faida za mazoezi haya bonyeza hapa chini

Health Talks... Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...