Hawa wapo katika hatari kubwa ya kupata kisukari

Ni muhimu sana kuelewa hali yako ya kiafya na kuelewa namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za kiafya mapema kadri iwezekanavyo na leo kupitia makala hii utaelewa kundi la watu ambao wapo katika hatari ya kupata ugonjwa wa kisukari   

👉wenye uzito mkubwa

👉wenye historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari katika familia zao

👉wasioshughulisha mwili

👉wenye shinikizo la damu

👉wenye msongo mkubwa wa mawazo kwa muda mrefu

👉wenye matumizi makubwa ya pombe na sigara

👉wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi


Chapisho hili ni mrejeo wa chapisho lililotolewa na wizara ya afya katika kitabu kiitwacho Mtindo wa maisha na magonjwa yasiyoambukiza

Zingatia mitindo mizuri ya kiafya kama vile mazoezi ya kila siku ili uweze kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa kisukari

#TUNAIJALI AFYA YAKO



Health Talks... Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...