Genes sio hatima: Kile unachokula na namna unavyoishi ni muhimu.
lakini tukumbuke kwamba "our genes are not our destiny" ndio kuna baadhi wanatabiriwa kupata matatizo fulani kutokana na kubeba genes hizo ukweli ni kwamba haimaanishi kwamba watapata kwani "genes loads a gun but it is enviroment and lifestyle that pulls a trigger"
kwahyo hiyo hali ya kutabiriwa kupata tatizo fulani kutokana na mtu kubeba genes zinazohusika ni kama mbegu tu kumbuka mbegu haioti tu kirahisi inahitaji maji na udongo kwa kujua hilo tunaweza kuchukua hatua na kuondoa mazingira au mambo yoyote ambayo yanaweza kuharakisha ukuaji wa mbegu hizo (ambazo ndio hayo matatizo/magonjwa ya kurithi)

Join the conversation