Vyanzo vyake
Vyanzo vya Vitamini E:
- Karanga na mbegu: karanga,mbegu za alizeti, korosho
- Matunda: kama vile embe, parachichi.
- Mboga: Mchicha,maboga
Vyanzo vya vitamin C
- Matunda jamii ya machungwa: Machungwa, limao, zabibu
- Berries.
- Mboga jamii ya kabichi: Brokoli,
- Tikiti maji ya manjano (cantaloupe).
Vyanzo vya Vitamini B6 :
- Nyama kama vile: Nyama ya ng'ombe, ini "liver", kuku
- Samaki.
- Matunda: Ndizi, tikiti maji, mapapai, machungwa.
Vyanzo vya Beta-Karotini:
- Matunda na mboga: Karoti, viazi vitamu, maboga, tikiti maji, embe, papai,brocolli
Vyanzo vya Magnesiamu:
- Mboga za majani
- Karanga na mbegu: korosho, mbegu za maboga, mbegu za chia "chia seeds", karanga
- Parachichi.
- Ndizi.
- Bidhaa za maziwa: maziwa/mtindi.
Vyanzo vya Zinki:
- Nyama: Nyama ya ng'ombe/kondoo
- Karanga na mbegu: Mbegu za maboga, korosho
- Bidhaa za maziwa: Maziwa/mtindi.
- Mayai.
Join the conversation